[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee baba hilo domo kwa avata yko linatuboa, ommit haraka, Mkuuwanchi Kasema
Weeeee.....usione wanarukaruka vile kwenye stage ukafikiri ni bazoka. Hiyo washi moja ingekurudia mwenyewe kidevuni. Tandale ile baba washazoea roba za mbaoKwangu mimi hiyo simu angeenda kununua nyingine leo kariakoo au mcity.
Ningeipiga washi moja asijue imemponyokaje mpaka kutua kwa kishindo ukutani,halafu aende kulia polisi pumbaavu.
Unachekelea eeennh kwakuwa nani eti Nasibu, ujinga mtupu.Nlicheka sana Diamond alipokuwa anamwambia yule Mzee kwamba " Huyu Mzee kala mchongo na jamaa watuzuie ili wauze tickets zetu kwa wengine" afu akamchukua video na jamaa then jamaa akaleta ubishi diamond akamwambia "toka hapa" nkajikuta nimecheka saana.
Mtoto wa tandale ni wa tandale tu hawezi kuwa na staha ya watoto wa Masaki. Kampa makavu vile vile yalivyo.
Weeeee.....usione wanarukaruka vile kwenye stage ukafikiri ni bazoka. Hiyo washi moja ingekurudia mwenyewe kidevuni. Tandale ile baba washazoea roba za mbao
Diamond ana baunsa kama Bolo yanki. Kabla wash alijafika unapigwa mbata ya mgongo na baunsa linalia kama Bomu. [emoji16][emoji16][emoji16]Kwangu mimi hiyo simu angeenda kununua nyingine leo kariakoo au mcity.
Ningeipiga washi moja asijue imemponyokaje mpaka kutua kwa kishindo ukutani,halafu aende kulia polisi pumbaavu.