Duuh nakumbuka miaka kadhaa kuna mwanafunzi mmoja alikua amekwenda kunywa bia nje kwenye pub karibu na maeneo ya chuo chao, sasa akafika mzee mmoja akakaa jirani nae akamuomba amnunulie bia, kijana alitukana matusi pale mpaka waliokua pale bar ingawa walikua walevi wakaziba maskio yao.
Haikuchukua muda kijana alidisco. Akaenda kufungua duka ambalo ndio anauza mpaka sasa.