mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
SALAMU KWA MASIKITIKO
Taarifa rasmi ambayo nimeipata sasa hivi kutoka kwa mpenzi wangu ni kwamba ame DUKUA simu yangu.
Kwakuwa mwezi ulopita alisafiri, ameamua kudukua mawasiliano yangu kwa kigezo cha kunichunguza tabia zangu. Alichokutana nacho mpaka sasa anashindwa kuzungumza.
Nami baada ya kunipa taarifa hizi, sikuzifurahia kwakweli. Sasa wadau nauliza
NIFANYE NINI? / NIMFANYE NINI?
Nawasilisha