meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 489
- 1,192
Watu wengine wa hovyo kweli kwanini uingilie privacy ya mtu? Hata kama ni mwanandoa kila mmoja anatakiwa kua na privacy yake sio kwa maana ya kufichana au la. Ila mwenzio anatakiwa awe huru kufanya mambo yake akitaka kukwambia haya asipotaka usiforce. Huo sio ustaarabu hata kidogo.... she got what she asked for.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app