Mzee wa kasumba NIMEDUKULIWA

Watu wengine wa hovyo kweli kwanini uingilie privacy ya mtu? Hata kama ni mwanandoa kila mmoja anatakiwa kua na privacy yake sio kwa maana ya kufichana au la. Ila mwenzio anatakiwa awe huru kufanya mambo yake akitaka kukwambia haya asipotaka usiforce. Huo sio ustaarabu hata kidogo.... she got what she asked for.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf nilifikii ni home of great thinkers.
 
Muulize ameamuaje kuhusu hilo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeipenda hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hio privacy mnaitumia vibaya wajameni. Mtu anataka privacy ili aongee na mahawara wake na wanaeza panga ukisafiri waje kutiana kwenye kitanda hiko hiko ulichochonga kwa pesa yako.

Mapenzi yalivyojaa utapeli sikuhizi amna namna zaidi ya kudukuliwa tu. Ni bora ujue kabisa unaishi na raia wa namna gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…