Pre GE2025 Mzee wa Kizanzibari: CCM hakijaumbwa kushindwa, kwa njia zote anachukua nchi. Adai haiwezekani kupika na kupakua halafu ashibe mwingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..mbona Husseni Mwinyi ni Muarabu?

..Na kama ni kutawaliwa na Muafrika bora kumchagua Othman Masoud kuliko Husseni Mwinyi.
 
Yuko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…