Mzee wa kula chabo!

Mzee wa kula chabo!

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
Kuna mzee alikuwa anapenda sana chabo!
Yupo tayari kulipa hata hela ale chabo tu.
Siku moja kaenda kuchungulia baada ya kuskia sauti ya kike ikilia
Jamaa akashtuka analiwa chabo
Akasogea na spoku na kumchoma yule mzee jichoni!
Zee likapiga kelele etiii ahhhhhh wamezima taa!
 
Back
Top Bottom