Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

Kuna member wakuitwa Deception alikuwa akidaii huu ugonjwa ni uzushi tu haupo.


Bwana Deception popote ulipo njoo utupe msimamo wako kuhusu huu ugonjwa haupo kweli..?
HIV/AIDS=ARVs/AIDS.
 
Ni steve wa bongo movie,anaumwa sana za chini ya kapeti na imefanywa siri lo ila shishiii ndio katujulishaView attachment 669683 yakaibuka mengine tena View attachment 669684 binti analalama,,sina mengi leo
Isije kuwa anatafuta followers maana siku hizi watu wako tayari kufanya chochote wapate followers na umaarufu.
Siamini kama ingekuwa kweli angeyaanika hayo mambo hadharani
 
We nae umekunya bila kutawaza toa harufu hapa,soma kwanza hili jukwaa ndio unye alaaaa
Wakati wanafanya si ilikua faragha?, hakubakwa, akubaliane na hali, hakuna Namna, anatangaza nn?, tumsaidie kununua ARV?
 
[HASHTAG]#roommates[/HASHTAG] inasemekana yule bongo movie rangi kama yangu nimemzidi urefu na tunatofautiana jinsia anaumwa saana ktk hospital flan ivi ipo ktkt ya mji. . Bongo movie wamefanya siri kubwa. Ila mbea nimeyapata mmmmmh japokuwa bado tunafanya haka kauogonjwa cri ila cheni yake ndio inayo sikitisha saana . Get well soon Ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…