nkasoukumu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 894
- 412
Nishakusoma, afadhali umekiriNa Botswana ee hawaogopi kabisa HIV ,,hakuna ugonjwa mbaya kama kisukari ni hatare
Maralia ikikumata fasta tu unaweza sepa,kansa ndio usiseme sukari inammaliza bibi yangu lo