GE2025 Mzee wa mauno Kangi Lugola azindua kampeni kwa shangwe, full kukatika

GE2025 Mzee wa mauno Kangi Lugola azindua kampeni kwa shangwe, full kukatika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Mgombea Ubunge Jimbo la Mwibara kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kangi Lugola, amezindua Kampeni katika jimbo hilo, huku akiwatumbuiza wananchi kwa kucheza ngoma na muziki, na kuahidi kuanzisha siku ya ruzuku ya Mbunge itakayosaidia wananchi kiuchumi, pamoja na siku ya elimu ambapo atagawa Vifaa vya shule kwa wanafunzi watakaokuwa wamechaguliwa kwenda Sekondari.

 
Back
Top Bottom