Mwanaume Mwingereza mwenye umri wa miaka 92 amehukumiwa nchini kwa kosa la ubakaji na mauaji yaliyotokea karibu miaka 60 iliyopita, katika moja ya kesi kongwe zaidi za jinai nchini Uingereza
Ryland Headley alipatikana na hatia na mahakama ya Uingereza kwa kumbaka na kumuua Louisa Dunne mwenye umri wa miaka 75, baada ya kuvunja nyumba yake huko Bristol, kusini magharibi mwa Uingereza, mwezi Juni 1967, wakati Headley alipokuwa na umri wa miaka 34
Polisi wa eneo hilo walifungua upya uchunguzi mwaka 2023 na kufanikiwa kulinganisha vinasaba DNA kutoka kwenye sketi ya marehemu na vielelezo vingine vya awali na Headley, ambaye pia aliwahi kutumikia kifungo kwa kubaka wanawake wawili wazee mwaka 1977
===
A 92-year-old man has been found guilty of the rape and murder of a Bristol woman in a case that remained unsolved for nearly six decades
Louisa Dunne, 75, was found strangled on her living room floor by a neighbour on Britannia Road in Easton, Bristol, on 28 June 1967
Convicted rapist Ryland Headley, of Clarence Road in Ipswich, has now been found guilty of Mrs Dunne's murder following a trial at Bristol Crown Court
Senior investigating officer Det Insp Dave Marchant said Headley, who was in his 30s when he killed Mrs Dunne, had left "a legacy of misery and pain"
Despite the efforts of police investigating Mrs Dunne's death 58 years ago, no key suspect was identified
Police collected about 19,000 prints from men and boys at the time with no success. They also made about 8,000 house-to-house inquiries and took 2,000 statements
Source: BBC & DW KISWAHILI