TANZIA Mzee wa Mjegejege afariki dunia

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Msanii wa Vichekesho Nchini Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Umar Lahbedi Issa, Maarufu Kwa Jina la Mzee wa Mjegeje, Amefariki Dunia Leo Alfajili Katika Hospitali ya Mwananyamala Alipokuwa Akipatiwa Matibabu. Taarifa za awali zimesema mchekeshaji huyo alikuwa akisumbuliwa na Ini pamoja na Figo.

Meneja wa Msanii Huyo, Real Jimmy Amethibitisha Taarifa Hizo.

Your browser is not able to display this video.

Video iliyompa umaarufu​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ