Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
SUBIRI SHOW OFF ZA WASANII MSIBANI NA MIWANI MIKUBWA KAMA WANAENDESHA NDEGE ZA KIVITA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plus mkojani....sielewag hawa watu kwakweliMandonga,pierre,dotto magari &Co Ltd wanawachesha nn
Nyie si mnapenda manenooo manenoooo mengiiiiii
Ova
Ok
Wote hao hamna kitu cha maana wanafanya kupewa airtime..ni ujinga ujinga tu wao binafsi sema media zinadandia kwa mbeleMandonga,pierre,dotto magari &Co Ltd wanawachesha nn
Nyie si mnapenda manenooo manenoooo mengiiiiii
Ova
Ahahahahahah...hapana kabisa mkuuAvatar yako kidogo inamfanana, we utakuwa Mjegeje Rapa!
Nasikia kuna zengwe huko msibaniSUBIRI SHOW OFF ZA WASANII MSIBANI NA MIWANI MIKUBWA KAMA WANAENDESHA NDEGE ZA KIVITA
Duh pole yake mzee mjegejeRIP MZEE WA MJEGEJE.
NASIKIA CHANZO CHA KIFO CHAKE NI MAPAFU YALIHARIBIKA SABABU YA MIPOMBE MIKALI.
Mkojani hapana kwa kwelii ila kuna watu huwaambii kitu kuhusu yeye.....RIP mjegejo.Plus mkojani....sielewag hawa watu kwakweli
RIP MZEE WA MJEGEJE.
NASIKIA CHANZO CHA KIFO CHAKE NI MAPAFU YALIHARIBIKA SABABU YA MIPOMBE MIKALI.
Wanakuambia aliomba mchango kwa wasanii wengiSUBIRI SHOW OFF ZA WASANII MSIBANI NA MIWANI MIKUBWA KAMA WANAENDESHA NDEGE ZA KIVITA
Itajulikana tuuu...Duh pole yake mzee mjegeje
Nasikia kuna zengwe kdg khs pakuzikwa marehemu..kuna wanaotaka azikwe dar na wengine wanataka azikwe kwao bagamoyo..