mzee wa ujiji

mzee wa ujiji

Ujiji gani mzee; Kitongoni, Busaidi,Kipampa, Buzebazeba, Livingstone, Kagera au...?
Karibu sana poti.
 
bhana nilikuwa naishi maeneo ya livingstone kwa mzee aun masudi kwenye barabara ya kwenda ziwani
 
Karibu mzee wa ujiji.
Mzee wangu uliujuaje huu mtandao?
(a) kwa kuambiwa
(b) kusikia redioni
(c) kusoma gazetini
(d) kusikia bungeni au
(e) kwa njia ya posta.

Karibu tena mzee wa ujiji kwa Noti,
 
Back
Top Bottom