Mzee wa Upako afunguliwa jalada kutishia kuua kwa risasi!

Mzee wa Upako afunguliwa jalada kutishia kuua kwa risasi!

Nimuendelezo wa Tuhuma za viongozi Makanisa wa Kiuroho
Kimataifa;
MchungajiBil Grahams ni Bilionea amekuwa tajirikuptia waumini wake, ana ndege binafsi kama Raisi na kanisa amelirithisha kwamtoto. Marekani wanapata pesa kupitia kwake na kufumbia macho mambo yake.
TBjoshua ni Bilionea kupitia wafuasi maskini. Alipewa kibali cha jengo la ghorofatano akajenga nane, likaporomoka na kuua 116. Sasa Ana kesi ya kujibu mahakamani na anaweza kufungwa. Nigeria inapatapesa za watalii wa kidini kupitia kwake.
MchungajiGilbert Deya Mkenya tajiri amejificha London, yeye na mkewe wana kesi ya kuiba watoto wachanga Kenya, kuwapatiawaumuni wagumba kwa kisingizio cha miujiza. Anatakiwa mahakamani Kenya kujibumashtaka. Pia amemnyanyasa Kingono msichana wa miaka 14.
Tanzania;
Kiongozowa Makanisa ya Kiuroho, mfano Getready Rukare wanawashirikisha wa-Kongo man kwenyebiashara za kusafirisha binadamu na nyinginezo.. Ni bilionea na wanalaghai maskinikutumia NGO ya yatima na dirisha lasiasa kupata mapesa /kuhadaa umma.
MchFuata, ana laghai waumini, kuchukua viwanja mpaka vya beach, anamiliki ardhi Sumbawanga na anamiliki benki yake. Anamigogoro na kesi ya ardhi/ unyumba wa watu.
Mch YusufKwajina, anamiliki magari ya lukuki ya kifahari - FOGO la Kivita au Amercan Hummer , pia helikkopta binafsi na anaishi maisha ya starehe na anamilikimajumba ya maghrofa (Global Publisher).
Mch. ZakeKobe, Jaaji wa Mahakam ameripotiwa akisema kanisa ni yake mali ni yake,anachukua 10% pensheni ya waumini maskini, anapokelewa Burundi na JNIA kama Raisi. Wauminiwamemfikisha mahakamani kudai chao.
Wengine:Huko Tegeta na kwinginepo wametuhumiwa kushiriki biashara ya Mihadarati.
WaleWachungaji wa DECI nao wameshtakiwa kwa kuwaibia waumini maskini.
MzeeUpapako alisema Kanisa lake lingekuwa barabarani wenzake wangemkoma kwaniangewaazoa waumini wote !
Viongozihawa wanalichafua kanisa, wamwinue na kumweka Mungu juu badala ya kujiinuawenyewe na kutafuta sifa na umaarufu duniani.
 
Ni kweli kabisa unachosema ila mimi sifahamu na siwezi kuongeza wala kupunguza ninachokifahamu
Mimi nimeleta taarifa humu ili watu angalau wafahamu sasa kama wewe ni mpelelezi nenda ukafanye kazi hiyo utuletee humu tufaidike maana angalau umejua mtu wako kafanya hivyo na polisi wamepokea taarifa!

habari za udaku.kama huna ushahidi bora unyamaze kuliko kutumika kishetani kuchafua watumishi wa mungu.ndugu.ni laana mkuu.chunga sana kinywa chako.ni ushauritu mkuu.
 
kama ukifuatilia vipindi vya channel ten hawa wahubiri hawa kuna visa/vijembe vyao vinaendelea ki chini chini........
Kama kweli kafanya hivyo,basi ni moja kati ya hao watumishi wenzake wanaomwinda..
''shame for today's worshipers''
 
Watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa, wameacha Miungu wa kweli na kwenda kuwa wateja wa watu fulani.
 
Back
Top Bottom