Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Acha wivu wewe, hebu kandamiza amina mara moja hapoHahahaha
Hatusemi Amen,
huyu mlevi mpuuzieni atakuwa alipiga bapa ndogoSio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako
Alipohojiwa na Times Fm
Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!
We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!
Video hapa chini inaeleza yote
Huyo ni mchungaji sio Nabii [emoji16][emoji16]Hawa manabii Wa Kizazi cha kidigitali wana shida Sana.
.Sio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako
Alipohojiwa na Times Fm
Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!
We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!
Video hapa chini inaeleza yote
Mungu hadhihakiwi mpeni muda mtaonaInawezekana kuna tafsiri mpya ya Biblia
May be he is rightHapo watu hawajaelewa vizuri. Hapo anaambiwa waumini wanaoishi kwenye umaskini wa kutupwa lakini wanampekelea mafungu ya kumi kuwa ni mafala! He is right!
Ndio kapiga hii pichaMpelekee Mzee wa Upako