Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Sio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako

Alipohojiwa na Times Fm

Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!

We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!

Video hapa chini inaeleza yote



Kwahiyo Yesu yenye anayemfata pia atamuita fala
Anaonekana kama amelewa na dharau juu?

Hao wanawake masikini hapo Congo waliobakwa na kukataa mikono wote ni mafala? Amechemka Sana kwenye hii issue.
 
Ila kuna wengine mafala kweli, inakuwaje mtu mzima mwenye akili timamu unatafuta hela halafu mlevi kama yule anakuzidi akili anakupiga maneno na wewe unampa pesa! Lazima awatukane mafala kama hao
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako

Alipohojiwa na Times Fm

Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!

We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!

Video hapa chini inaeleza yote


Mzee wa upako yupo very right.Hata kwenye Qurani imeandikwa umasikini ni ukafiri
 
Tajiri mmoja akamuuliza Yesu,"Mwalimu nifanye nini ili ni urithi ufalme wa mbinguni? Yesu akamjibu,nenda kauze vyote ulivyonavyo kisha uje unifuate". Yule tajiri akaenda zake wala asirejee tena...
 
Hawa Wahubiri/Manabii hupenda sana huo msemo ilihali wao huchangisha Wenzao na kutajirika.
 
Back
Top Bottom