Ndiyo mchungaji hajakosea.Kuwa masikini ni uchaguzi maana hakuna aliyezaliwa tajiri.
Sio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako
Alipohojiwa na Times Fm
Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!
We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!
Video hapa chini inaeleza yote
hama huyu jamaa hapo alipo ana UNIT kadhaa za kilevi kichwaniila wanakusanya sadaka na wanakunywa nazo divai
Is Dangote poor man? Is he not African?Ukikaa nchi za Ulaya utasikia wazungu wanasema Africa is a poor Continent
Tanzania is a Poor Country
Ina maana na wewe si Mwafrica?! Si Mtanzania? !
Je Ina maana wewe ni Fala? !
Is Dangote poor man? Is he not African?Ukikaa nchi za Ulaya utasikia wazungu wanasema Africa is a poor Continent
Tanzania is a Poor Country
Ina maana na wewe si Mwafrica?! Si Mtanzania? !
Je Ina maana wewe ni Fala? !
Sipendi umaskini nauchukia.We unapenda masikini???
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila kuna wengine mafala kweli, inakuwaje mtu mzima mwenye akili timamu unatafuta hela halafu mlevi kama yule anakuzidi akili anakupiga maneno na wewe unampa pesa! Lazima awatukane mafala kama hao
Mzee wa upako yupo very right.Hata kwenye Qurani imeandikwa umasikini ni ukafiriSio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako
Alipohojiwa na Times Fm
Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!
We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!
Video hapa chini inaeleza yote
Huyo huwa anapiga JibapaHahaha h anakunywa Mvinyo
yes I amAre u a rich man?!
Aisee ebu tubu haraka sana kabla hujawa nyau sasa iv.Hahahaha uuuwi ajaribu aisome namba
kwa hiyo ccm= umasikini= shetaniNaunga mkono hoja, umasikini ni ufala kabisa.
Umasikini unatoka kwa shetani, umasikini ni roho.
Maandiko matakatifu yanasema, mpingeni shetani naye atawakimbia.
Roho nyingine zitokazo kwa shetani zinazoambatana Na umasikini ni maradhi n ujinga