Siku hizi naona wamepungua sana waumini hata bus hatumii tena kuwasomba pale riverside
Ni ukweli usio pingika KUWA MASKINI NI UFALA! Bill Gates aliwahi kusema KUZALIWA MASKINI SIO KOSA LAKO BALI KUFA MASKINI NI KOSA LAKOSio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako
Alipohojiwa na Times Fm
Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!
We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!
Video hapa chini inaeleza yote
si vile wanasemaga watu wafate maneno yao tu...Wakati hapo hapo wanasema "Tajiri kuuona ufalme wa mbingu ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano"sasa tuelewe lipi
Woi kwahiyo na wewe maskini? !
HAHAHAHAkuna vitu vingine ni aibu kwenye ukristo. watu wengine aisee wanahitaji kuombewa.