Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Sio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako

Alipohojiwa na Times Fm

Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!

We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!

Video hapa chini inaeleza yote

Ni ukweli usio pingika KUWA MASKINI NI UFALA! Bill Gates aliwahi kusema KUZALIWA MASKINI SIO KOSA LAKO BALI KUFA MASKINI NI KOSA LAKO
 
Jamaa yuko vizuri sana acha aendelee kuwapiga vipofu wa akili, sasa afanyaje na hela wanampelekea wenyewe acha atajirike
 
Kwanza afafanue neno "ufala" kwa mtumishi wa Mungu hawezi kutamka hivyo kwani kila mtu anajitahidi kuwa na uwezo kifedha lakini anashindwa. Maadam unaujua ulimwengu wa roho, una haki ya kusema umasikini ni ufala
 
Umasikini ni hali ukipambana nayo unaikimbia. Ila huwezi kusema masikini ni fala. Mtu mzima mwenye akili timamu akifa kwenye umasikini wa kutupa unaweza kumtusi japo si sahihi huwezi kujua nini kilimpelekea kufa masikini wa kutupwa. Hivyo tuheshimiane kwa kila hali. Maana duniani watu wote hatuwezi kuwa sawa
 
Back
Top Bottom