Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Umasikini ni hali ukipambana nayo unaikimbia. Ila huwezi kusema masikini ni fala. Mtu mzima mwenye akili timamu akifa kwenye umasikini wa kutupa unaweza kumtusi japo si sahihi huwezi kujua nini kilimpelekea kufa masikini wa kutupwa. Hivyo tuheshimiane kwa kila hali. Maana duniani watu wote hatuwezi kuwa sawa
KWELIII
 
Yohana 12:8 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
8 Maskini wapo pamoja nanyi siku zote ila hamtakuwa nami siku zote. ”..hili zee limekengeuka sana baada ya kugundulika linapiga bapa..anajivika Uungu mpaka anapingana na maneno ya Yesu
 
HATAREE... NDIO RAHA YA KUSHIBA PESA
 
Back
Top Bottom