Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hapana , mzee wa Upako hajalipa bali kalipwa ili kumbrand Kiboko ya matahiraIna maana hata Masha na Mzee wa Upako nao wamelipishwa laki tano ili kumuona huyu kiboko ya wachawi? 😁
View attachment 3041182
Omba yasikukute Dunia Inamsngi jifunze kuweka akiba ya maneno kwa wakati ujao usio julikana;Hawa matapeli wana group lao la WhatsApp admin ni Mwamposa
Wazee was mifumoHii ya zamani sana zaidi ya mwezi ,hawa manabii wanamtandao mkubwa na hutembeleana ,kiboko hana pesa kumzidi mzee wa upako,kiboko ni mtoto sana nafahamu zaidi na zaidi
USSR
WalewaleWadau hamjamboni nyote?
Nukuu ya Mzee wa Upaka
"Msikimbilie kuja kanisani kwangu tumejaa na kwanza nimeshazeeka mungu ameinua watu wengi saivi nguvu ya upako kubwa ipo Buza kwa Lulenge kwa kiboko ya wachawi nendeni huko mkapate upako" - Mchungaji Anthony Lusekelo, mchungaji rafiki wa karibu zaidi wa kiboko ya wachawi aliyefungiwa
Muwe na siku njema wapendwa
So hao waumini tayari watakuwa wanapo pa kwenda baada ya kanisa lao kufungwa.View attachment 3056111
Njaa haina Baunsa na shida zisikie tu. Mzee wa Upako Antony Lusekelo ajisalimisha kwa kiboko ya wachawi Buza kupata huduma. Nani anamloga huyo mzee wa Upako? Laa dunia hii isikie kwenye radio.
Wewe kapuku umetapeliwa nn.....Hawa matapeli wana group lao la WhatsApp admin ni Mwamposa
We ni Punda wa mwamposaWewe kapuku umetapeliwa nn.....
Inamaana watu woote hapo na kwa mwamposa hawana akili na wala hawajitambui ww mmoja unawazidi au siyo.....kuku ww
Sawa acha niwe punda kwa mtazamo wakoWe ni Punda wa mwamposa
Jamaaa siku nakunywa nae rainbow Beach gizaniii nilichekaa sanaWadau hamjamboni nyote?
Nukuu ya Mzee wa Upaka
"Msikimbilie kuja kanisani kwangu tumejaa na kwanza nimeshazeeka mungu ameinua watu wengi saivi nguvu ya upako kubwa ipo Buza kwa Lulenge kwa kiboko ya wachawi nendeni huko mkapate upako" - Mchungaji Anthony Lusekelo, mchungaji rafiki wa karibu zaidi wa kiboko ya wachawi aliyefungiwa
Muwe na siku njema wapendwa
Matapeli wakikutanaView attachment 3056111
Njaa haina Baunsa na shida zisikie tu. Mzee wa Upako Antony Lusekelo ajisalimisha kwa kiboko ya wachawi Buza kupata huduma. Nani anamloga huyo mzee wa Upako? Laa dunia hii isikie kwenye radio.