aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
- Thread starter
- #41
Ukiniletea documents kuonesha kusaga anahisa nakupa mke wanguNi jambo la aibu kwa kijana mdogo kama wewe kuendeshwa kwa mawazo ya kidini.
Kwenye hisa nyingi Wasafi Media ni Joseph Kusaga hivi unayo hii habari?!
Usiamini kila anachosema mange kimambi hata kama anasema kwa chuki na kufitinisha