Mzee wa upako anyimwa kipindi WASAFI TV

Ni jambo la aibu kwa kijana mdogo kama wewe kuendeshwa kwa mawazo ya kidini.

Kwenye hisa nyingi Wasafi Media ni Joseph Kusaga hivi unayo hii habari?!
Ukiniletea documents kuonesha kusaga anahisa nakupa mke wangu
Usiamini kila anachosema mange kimambi hata kama anasema kwa chuki na kufitinisha
 
We Pumbu mbona suala la udini limekukalia kooni sana?? Alafu every day unawashambulia hao wcb kwenye suala hilo hilo la udini hiv kuna kitu wamekunyima hao jamaa???

****** zako ww*
 
We Pumbu mbona suala la udini limekukalia kooni sana?? Alafu every day unawashambulia hao wcb kwenye suala hilo hilo la udini hiv kuna kitu wamekunyima hao jamaa???

****** zako ww*
Habari yako mr mosse iyobo upo?
 
Wcb ni muslims usitegemee kabisa alafu mzee wa upako shombo nyingi
Hivi nyie kwanini mna kazana kumchafua Diamond?
 
Alimsifia Mondi kwamba ni mnyenyekevu na moyo wa kusaidia..upande wa pili akamponda sna mzee wa yeooooooh Kiba kuwa jamaa ni selfish sana na kibri mno.

Kumbe Mzee wa bapa alitoa yale maneno kimkakati..hahahaa
Ndiyo alimsifia hata mie niliiona hiyo
 
Udini udini udini mwalim nyerere aliupiga vita ila mtoa mada kaukumbatia kama ameinikwa
 
Ni jambo la aibu kwa kijana mdogo kama wewe kuendeshwa kwa mawazo ya kidini.

Kwenye hisa nyingi Wasafi Media ni Joseph Kusaga hivi unayo hii habari?!
Leo mpaka team yoooooh mpo kwa mond πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zama alivojaa udinj kama hao mabos
Wake mzee wa upako hapo asubr sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…