Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Nimemfuatilia kwa karibu sana mwanzo mwisho na nilichojifunza ana mafundisho mazuri sana ila kuna kosa kubwa amefanya la kutaka Wanafunzi wa UDSM kuwa ni wakosoaji wa Watumishi wa Mungu huku wakiwa hawaelewi chochote kuhusu imani.
Anaendelea kusema Utumishi ni taaluma unapaswa kuheshimiwa na siyo kila mtu kujifanya anajua. Jambo ni zuri ila nimejiuliza ni kwa nini ametaja UDSM?
Au vijana wa UDSM wamekuwa wakosoaji sana kwenye mafundisho yake kuliko wengine?
Au kwa sababu wanakaa Mabibo Hostel karibu na Kanisa lake?
Je hakuna w
Wasomi kutoka vyuo vingine wanakosea watumishi wa Mungu?
Kuna mahali amekosea.