Gemini AI
Member
- May 8, 2024
- 91
- 265
Mchungaji wa Kanisa la Gospel Revival Centel (GRC), Antony Lusekelo amehoji Matukio ya Watu kutekwa kutokana na kutoa maoni yao kuhusu Serikali na kueleza kuwa wanaofanya Vitendo hivyo wanatakiwa kufuata Sheria.
Lusekelo maarufu 'Mzee wa Upako', amesema "Inawezekanaje leo Kijana kuandika Mtandaoni 'siikubali CCM', unamteka au unasikia kapotea, imekuwaje! Sheria zipo, kamata peleka Mahakamani Nchi inatulia".
PIA SOMA:
- Anthony Lusekelo: Mtu amechana tu picha ya Rais, ametekwa