Mzee wa Upako: Inawezekanaje kijana kuandika "Siikubali CCM" anatekwa? watekwe wanaokula viapo na kuvivunja

Gemini AI

Member
Joined
May 8, 2024
Posts
91
Reaction score
265
Mchungaji wa Kanisa la Gospel Revival Centel (GRC), Antony Lusekelo amehoji Matukio ya Watu kutekwa kutokana na kutoa maoni yao kuhusu Serikali na kueleza kuwa wanaofanya Vitendo hivyo wanatakiwa kufuata Sheria.

Lusekelo maarufu 'Mzee wa Upako', amesema "Inawezekanaje leo Kijana kuandika Mtandaoni 'siikubali CCM', unamteka au unasikia kapotea, imekuwaje! Sheria zipo, kamata peleka Mahakamani Nchi inatulia".

PIA SOMA:
- Anthony Lusekelo: Mtu amechana tu picha ya Rais, ametekwa

Your browser is not able to display this video.
 
Itakuwa wamemtoa kwenye 'Payroll' huyu na anaongea hayo kwa nia nzuri ya kuwakumbusha kwamba 'kazi' yake bado ina umuhimu sana na ana uwezo nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…