Mzee wa Upako: Malofa hawataingia mbinguni

Agl
Kwanza nikupongeze unaijua jua biblia kiasi chake lkn Maelezo marefu yote hayo ya Nini mkuu?

Yohana 14:1-3 (KJV) Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.
Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.

NIAMBIE YESU HAYO MAKAO KAENDA KUYAANDAA MBINGUNI AMA DUNIANI?

AU MAANA YAKO KAENDA KUYAANDAA KWA YERUSALEMU THEN ASHUKE NAO HADI MBINGUNI?

1 Wathesalonike 4:16-17 (KJV) Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza.
Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.

"Tutamlaki Bwana hewani" hiyo hewani itakuwa hapa duniani ama?

Soma pia mathayo 22:29-30

Yesu anawaambia huko mbinguni hakuna kuoa Wala kuolewa.

Karibu tujifunze. Nikufundishe nawe ukafundishe wengine.

Ahsantee sana
 
Huyo daddy wako wa kwako tu hata sioni wakumkomboa mwenzie,
Mzee wa Upako mwacheni Mungu ataamua mwenyewe amshughulikie vipi
Unayajua mapigo ya daddy wangu weye?

Hebu Tuliza komwe, mwamba analinda hadi michepuko yetu
 
Nomekuuliza maswali mengi sana lakini hakuna hata moja ulilonijubu. Jibu maswali yangu kwanza, moja baada ya lingine ndipo nami nitakujibu.
 
Nomekuuliza maswali mengi sana lakini hakuna hata moja ulilonijubu. Jibu maswali yangu kwanza, moja baada ya lingine ndipo nami nitakujibu.
Kwa majibu wa maandiko ama ufunuo 20 inaeleza wazi kuwa kutakuwa na miaka1000 huko mbinguni yaan Mungu ataishi na watu wake huko Kwa miaka hiyo.

Baada ya kuisha atakuja Sasa na watu wake ndipo shetani atawaamusha watu wake majemedari wa vita wauteke ule mji mtakatifu ukiwa unashuka ndipo watakapoangamizwa wote (ufufuo wa pili)
Haikuwa na haja ya kuelezea urefu wote huo


Ningependa kujua hiyo miaka 1000 watakuwa mbinguni ama duniani? Karibu
 
Jibu maswali yote niliyokuuliza.
 
Mathayo 23:9-12"Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo. Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa."
 
Kwenda mbinguni kupo, unaambiwa washindi watakaa huko miaka 1000 baada ya hapo watarudi duniani kuja kuhukumu ulimwengu....na ukweli ni kwamba wataishi hapa duniani yerusalemu mji mpya
Unajitahidi kupagawa
 
Sasa wewe unampiga madongo tapeli wa Dar na kumsifu tapeli wa Kisongo? Ubongo wako una mavi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…