N Nzagambaaa JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 1,135 Reaction score 1,826 Jun 29, 2024 #41 Si Gen Z tunaita Mafala et? Mh! Mtumishii amempiga K vant
Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 2,139 Reaction score 5,109 Jun 29, 2024 #42 Aliyetunga jina la nyagi, aende peponi
T Tajiri mkopeshaji JF-Expert Member Joined Dec 24, 2022 Posts 613 Reaction score 1,445 Jun 30, 2024 #43 Toka lini mkazi wa tandare au manzese akanunua nyumba masaki/osterbay na kuishi... Hvo na maskini kuishi mbinguni hakuna hyo nafasi ever never.. Maskini (malofa na wapumbavu) wamezoea shida na mateso ambayo yanapatikana jehanam(according to Bible)
Toka lini mkazi wa tandare au manzese akanunua nyumba masaki/osterbay na kuishi... Hvo na maskini kuishi mbinguni hakuna hyo nafasi ever never.. Maskini (malofa na wapumbavu) wamezoea shida na mateso ambayo yanapatikana jehanam(according to Bible)