wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Afa na lek...Muuza bucha hapo afungue friji alafu apige kelele, Mama akiuliza kulikoni, aseme yule Kuku ameyeyuka.Ila tusiwaseme vibaya masihi wa Bwana.
Mwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
Mi nilichoelewa haraka haraka ni kuwa Ali Kiba hatumii JIBAPAHajui kuwa kumchukia mtu ni dhambi,huyu nae vipi!kwa caliber yake hatakiwi kuonyesha hizo chuki zake kwa watu wanao mkosea au wasiompendeza..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila tusiwaseme vibaya masihi wa Bwana.
Mwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
Muuza bucha labda siyo mjanja. Kama ni mjanja kama hapo mwanzo, simple sana anatakiwa kusema kuna mteja wangu wa kila siku na mpekelea kuku mmoja na walikuwa wamebaki wawili tu.Ila tusiwaseme vibaya masihi wa Bwana.