Mzee wa Upako: Nampenda Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, simpendi Alikiba ni kiburi

Sasa Sadaka maana yake nini?

Hao wote ni waislamu.
Ina maana Lusekelo anataka sadaka za diamond.
 
japo mond toka amtende zari nimemchukia, ila kwa hili ni kweli kabisa diamond ana utu kwa watu ila kiba jamani, ila my take kiba yuko hivyo kwasabubu ya inferior aliyonayo kutokana na kuwa compared na diamond ambae kwa hakika amempa changamoto sana za kimuziki na kimaisha, hiyo hali imempa kutokujiamini, hata hili bifu lao jinsi diamond anavyoongea kuhusu kiba si sawa na kiba anavyoongea kuhusu diamond, kiba akiulizwa kuhusu diamond hadi sura huwa inambadilika anakuwa kama kuna kitu kimemkaba kooni
 
Wachungaji wa suku hizi bhana sasa wanawashobokea wasanii wa nini?
 
Hivi huyo Mtumishi wa Mungu nilidhani kuwa atakuwa mpenzi wa Gospel, kumbe hata muziki wa dunia kumbe nao anaushabikia??

Ama kweli hizi ni siku za mwisho ambazo alitutabiria Bwana wetu Yesu Kristo kuwa tutawaona manabii wa uongo wengi ambao watakuwa wanaliitia jina la Bwana, Bwana..........

Kumbe wenyewe nao ni watumishi Feki!
 
Hili zee la bapa lina pumba nyingi lkn hata punje za mchele anazo pia
 
Ila tusiwaseme vibaya masihi wa Bwana.
Mwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
Afa na lek...Muuza bucha hapo afungue friji alafu apige kelele, Mama akiuliza kulikoni, aseme yule Kuku ameyeyuka.
 
Ila tusiwaseme vibaya masihi wa Bwana.
Mwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muuza bucha labda siyo mjanja. Kama ni mjanja kama hapo mwanzo, simple sana anatakiwa kusema kuna mteja wangu wa kila siku na mpekelea kuku mmoja na walikuwa wamebaki wawili tu.
Mama atasema nilikuwa nahitaji wote wawili basi nipatie huyu.
 
Kumbe na upako unahitaji kiki?

Kiba akitoa kiki, kondoo hawatazidi kupunika!?

Wanawake ni tele, Ni yupi anafaa kumpokea bwana wa harusi?

Milima ni mingi sana, Ni mlima upi ulio sahihi na salama ili kondoo wetu wapate malisho na mapumziko yao?.

ISAYA 4:1
 
Back
Top Bottom