Mzee wa Upako: Nampenda Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, simpendi Alikiba ni kiburi

Usimtegemee Mwanadamu akuonyeshe njia ya Mbinguni soma neno la Mungu likae kwa wingi ndani yako ili uachane na injili za miujiza na kuombewa,Tujifunze KUOMBA NA KUJIOMBEA WENYEWE.Common sense ni muhimu.Maana sasahivi mi naona kama kuna kitu kama Church Bussness.Usipotumia akili utajikuta umeingia ndani ya kumi na nane za watu kama hawa.BIBILIA TAKATIFU INASEMA TUWAPENDE MAADUI ZETU NA KUSAMEHE WALIOTUKOSEA.NANI ANAMPA MAMLAKA YA KUMPENDA HUYU NA KUMCHUKIA YULE?kwa hiyo anatufundisha tuwachukie wenzetu wenye mapungufu katka tabia zao siyo?
 
Mie sio fan wa Lusekelo lakini nimemuelewa vyema.

Chuki anayoisema hapa sio ile inayokatazwa kibibilia.


Bali anamaanisha Preference zaidi. Yaani Kiba abadilike amevimba kichwa sana wakato uwezo hamna, elimu hamna. Lusekelo Amekua honest katika kumshauri Kiba kwenye Media.
 
wewe na mimi tumeelewa sawa sawa juu ya kauli ya mzee wa upako! watu wamemtafsiri mchungaji more literally than purposefully..
 
Dai namkubali sana sio kiushabiki lakini jamaa bonge la smati
 
Mchungaji abapobagua kondoo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…