Mrs salvador
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 241
- 256
AHAAA HAAAA AHAAA.Watu tutumie tu common sense tusilalamike.Labda anataka kufanya kolabo mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AHAAA HAAAA AHAAA.Watu tutumie tu common sense tusilalamike.Labda anataka kufanya kolabo mzee
Usimtegemee Mwanadamu akuonyeshe njia ya Mbinguni soma neno la Mungu likae kwa wingi ndani yako ili uachane na injili za miujiza na kuombewa,Tujifunze KUOMBA NA KUJIOMBEA WENYEWE.Common sense ni muhimu.Maana sasahivi mi naona kama kuna kitu kama Church Bussness.Usipotumia akili utajikuta umeingia ndani ya kumi na nane za watu kama hawa.BIBILIA TAKATIFU INASEMA TUWAPENDE MAADUI ZETU NA KUSAMEHE WALIOTUKOSEA.NANI ANAMPA MAMLAKA YA KUMPENDA HUYU NA KUMCHUKIA YULE?kwa hiyo anatufundisha tuwachukie wenzetu wenye mapungufu katka tabia zao siyo?Ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mlezi wa kiroho, huu ni upofu wa hali ya juu.
Kazi kuu ya mchungaji ni kitafuta kondoo aliyepotea.
Mfano; mlevi, mzinzi, mwenye kiburi nk.
Leo unatamka hadhari humpendi mwenye kiburi, je! Waweza kumhubiria injili aokoke?
wewe na mimi tumeelewa sawa sawa juu ya kauli ya mzee wa upako! watu wamemtafsiri mchungaji more literally than purposefully..Mie sio fan wa Lusekelo lakini nimemuelewa vyema.
Chuki anayoisema hapa sio ile inayokatazwa kibibilia.
Bali anamaanisha Preference zaidi. Yaani Kiba abadilike amevimba kichwa sana wakato uwezo hamna, elimu hamna. Lusekelo Amekua honest katika kumshauri Kiba kwenye Media.
Well said Mkuuwewe na mimi tumeelewa sawa sawa juu ya kauli ya mzee wa upako! watu wamemtafsiri mchungaji more literally than purposefully..
Wachungaji wa suku hizi bhana sasa wanawashobokea wasanii wa nini?
Mchungaji abapobagua kondoo wakeMchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati ya Alikiba na Diamond pamoja na kutoa sababu zake
Akiongea na kipindi cha Maisha Mseto cha Times FM, Mzee huyo wa Upako amesema anampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu lakini Alikiba ni kiburi.
“Mimi nampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, Simpendi Alikiba kwa sababu ana kiburi, nadhani kwa sababu amekaa Kariakoo,” amesema Lusekelo.
Mchungaji huyo ameongeza kwa kusema, “Ukipigia simu Diamond anapokea kwa unyenyekevu ila Alikiba anapokea kwa maringo. Ndio maana Diamond amefika mbali.”