Mzee wa Upako: 'Tano Tano', 'Kusanya Kusanya'

Mzee wa Upako: 'Tano Tano', 'Kusanya Kusanya'

Anatumia fulsa na mi nataka kuanzisha kanisa langu ,hivi kuanzisha msikiti haulipi?????????
 
Jamani haya makanisa yatutoa roho leo nilikuwa naagalia startv mara nikaona kuna nabii anaitwa joel (kama sijakosea )alikuwa anasema eti ameingiliwa na wachawi laki saba na 80 hotelini alikokuwa amelala!!! Yaani nimewaza sana hivi kwl inawezekana kwl????
Kwa hiyo hao wachawi walimpa idadi yao au yeye alianza kuwahesabu mmoja baada ya mwingine? Na wanaenea vipi watu laki saba na ushee kwenye chumba kimoja??
 
Back
Top Bottom