Mzee wa Vitisho alitutisha sana kabla ya kuanza kuangalia Bongo Movie

Sikumbuki vizuri ila nahisi ilikua ni kuhusu kutokununua pirated movies au music VHS.
 
Nakumbuka na kale kaufunguo alikokua anakachezea

Huku akisema adhabu yake ni kifungo cha miaka 5 au faini ya milioni 1 au vyote kwa pamoja

Enzi hizo ukisikia milioni MOJA inaitwa 'shitabalwa' (isiyohesabika).[emoji1][emoji1][emoji1]
 
hahha jamaa nakumbuka ndie akienifanya nipate mwanga wa sheria nilipokua shule ya msingi enzi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…