Mzee wa Vitisho alitutisha sana kabla ya kuanza kuangalia Bongo Movie

hahha jamaa nakumbuka ndie akienifanya nipate mwanga wa sheria nilipokua shule ya msingi enzi hizo

We kiboko ! shule ya msingi tu ushapata mwanga wa sheria? .... Sasa hivi si utakuwa jaji mkuu au jaji wa mahakama ya rufaa au mwanasheria mkuu wa serikali !
 
Nakumbuka na kale kaufunguo alikokua anakachezea

Huku akisema adhabu yake ni kifungo cha miaka 5 au faini ya milioni 1 au vyote kwa pamoja
Hivi zilikuwa ni funguo au pingu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…