Mzee wangu ameniharibu!

Una familia yako? Watoto je unawarithisha alichokupa mzee??

Mimi sioni shida as long as wewe si jirani yangu, uko sawa
 
mzee wako alikuwa askali kikosi gani tuwaite vijana wa op Nyerere kambi ya orojolo watufafanulie kwann makamanda wa zamani walikua mangwakwa sana
Mzee wangu alisoma enzi za Nyerere na alikuwa mwalimu. Mzee pia aliwahi kuwa na kitu hiki, ila alifanyiwa 'surgery' ya kichwa na kukatwa baadhi ya mishipa, ndipo akawa na afadhali. Nafikiria vitu deep mno, hata kama ni kitu kidogo. Nina mengi mno, hayo ni machache.
 
Kwa dunia ya leo iliyojaa unafiki unaweza ukaona maisha magumu. Maana leo kuna watu wanaojiita machawa ambao wako radhi kucheka kinafiki hata wakiona wake zao wanatiwa vidole na wenye navyo.

Hivyo ulivyo sasa ndio maumbile yako, jaribio lolote la kutaka kujibadilisha kutapelekea uwe mnafiki. As long as humdhuru mtu, endelea kuwa kama ulivyo tu.

Nje ya mada kidogo mkuu, umesema unapenda kufanya mapenzi, sasa mademu pia unawatongoza na sura ngumu, je kwenye kunjunjana napo hutoi hata kicheko kidogo hasa pale baada ya kufika mshindo?????
 
Frankly huwa natabasamu kwa mbali mno, kutongoza natongoza kawaida tu, nalazimisha niwe natabasamu kwa mbali.
 
Kuja nikupe mapenzi Moto Moto mrembo utajikuta unageuka tu nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…