Mzee wangu ameniharibu!

Wewe ukienda kuishi mikoa migumu kama Geita na Katavi utakufa kwa depression.......mikoa hiyo wastaarabu ni 3% tu....ukipatwa na shida hakuna anaehangaika na wewe...
 
Wewe ukienda kuishi mikoa migumu kama geita na katavi utakufa kwa depression.......mikoa hiyo wastaarabu ni 3% tu....ukipatwa na shida hakuna anaehangaika na wewe...
Sasa mimi ndiyo napenda maisha hayo. Hope ningeishi vizuri sana.
 
Itakuwa akicheka anakicheko kibaya [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…