Mzee wangu ameniharibu!

Mzee wangu ameniharibu!

Wewe ukienda kuishi mikoa migumu kama Geita na Katavi utakufa kwa depression.......mikoa hiyo wastaarabu ni 3% tu....ukipatwa na shida hakuna anaehangaika na wewe...
 
Wewe ukienda kuishi mikoa migumu kama geita na katavi utakufa kwa depression.......mikoa hiyo wastaarabu ni 3% tu....ukipatwa na shida hakuna anaehangaika na wewe...
Sasa mimi ndiyo napenda maisha hayo. Hope ningeishi vizuri sana.
 
Kuna sehemu Ukienda mzee kama Zanzibar jifunze kugeuka nyuma.

There is a saying in English "The one who laugh last understand least". Ila linaweza kuwa tatizo kuwa hucheki au labda hujapata kitu cha kukuchekesha. Tatizo lingine linaweza jitokeza pale utakapocheka na ukajikuta una kicheko kibaya [emoji1]
Itakuwa akicheka anakicheko kibaya [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom