Mzee wangu Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu endelea kupiga spana

Mzee wangu Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu endelea kupiga spana

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Leo nipo na furaha sana wakuu jf , amani ya Bwana ikawe juu yenu.

Rejea mada tajwa hapo juu

Mzee wangu Jaji na Waziri mkuu mstaafu mzee Warioba amani ya Bwana ikawe juu yako.

Mzee wangu kama Taifa umetupa baraka sana Mungu akutunze mzee wangu.

Kuna vilio huko ,ila kujibu hoja zako hawezi .

Mzee wangu upatapo muda tena ongezea spana , hili Taifa letu wote .

Asante mzee wangu
 
Leo nipo na furaha sana wakuu jf , amani ya Bwana ikawe juu yenu.

Rejea mada tajwa hapo juu

Mzee wangu Jaji na Waziri mkuu mstaafu ( mzee Warioba) amani ya Bwana ikawe juu yako.

Mzee wangu kama Taifa umetupa baraka sana Mungu akutunze mzee wangu.

Kuna vilio huko ,ila kujibu hoja zako hawezi .

Mzee wangu upatapo mda tena ongezea spana , hili Taifa letu wote .

Asante mzee wangu
Marahaba, kuanzia sasa CCM siyo baba wala mama yangu.
 
CCM Inahaha Kona Zote Moto Mkali Sana
 
Tutamwita kimyakimya alafu tutamwambia achague marupurupu au kuongea au tuwape kazi ya kudhibiti wakina Bshite.
JJibumtalisubiria baada ya 2025.
 
Huyu Mzee ndio alitunga sheria ya kupigia kura kivuli au picha ya Nyerere, eti leo na yeye analalamikia uchaguzi.

Nyamirembe kabisa huyu
 
Huyu Mzee ndio alitunga sheria ya kupigia kura kivuli au picha ya Nyerere, eti leo na yeye analalamikia uchaguzi.

Nyamirembe kabisa huyu
Naona umeshkwa Kwa nyuma na Mzee,Kwa iyo unajarb kuja na chuki zako ili uungwe mkono
 
STATESMAN PER EXCELLENCE

Mmemsikia Msekwa akijitokeza na kusema hajapenda CCM kushinda 99%. Amepata balls (ushujaa) wa kuongea baada ya Sinde Warioba kum call out by name!

Sinde kasema kuna mizee - kwa majina kawataja - wapo wamekaa kaa uselessly wakati nchi inaangamia, na Katiba ya CCM inawataka Wenyeviti Wastaafu na Makamu wakutane kama tume kunusuru Taifa kila inapobidi.

Kawataja:

Jakaya Kikwete
Muhammed Shein
Abedi Karume
John Malecela
Abduli Kinana
Pius Msekwa
Salmin Amur (huyu ana udhuru, haoni na hatoki nje)

Yeye Warioba hayumo kwenye hii Kamati kwa mujibu wa Katiba ya CCM, lakini anawaabisha, ana uchungu na nchi kuliko wao. Ndio maana Msekwa jana kajitutumua kuongea.

Sinde Warioba angekuwa halindwi na Usalama wa Taifa wangemteka nje ya ukumbi wa ile press conference na kutupa mwili mtoni.

It was, by far and away, the most stinging, cogent and comprehensive repudiation of CCM Government's abysmal and criminal misrule of this nation since independence.
 
Marahaba, kuanzia sasa CCM siyo baba wala mama yangu.
Tumfuate nyendo za Captani Fire na Kadhi mkuu1 kabla makaburu hawaja tufunga minyororo na kuturudisha utumwani ndani ya taifa letu.Barikiwa sana ndugu Kadhi Mkuu1.
 
Back
Top Bottom