4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Marahaba, kuanzia sasa CCM siyo baba wala mama yangu.Leo nipo na furaha sana wakuu jf , amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Rejea mada tajwa hapo juu
Mzee wangu Jaji na Waziri mkuu mstaafu ( mzee Warioba) amani ya Bwana ikawe juu yako.
Mzee wangu kama Taifa umetupa baraka sana Mungu akutunze mzee wangu.
Kuna vilio huko ,ila kujibu hoja zako hawezi .
Mzee wangu upatapo mda tena ongezea spana , hili Taifa letu wote .
Asante mzee wangu
Naona umeshkwa Kwa nyuma na Mzee,Kwa iyo unajarb kuja na chuki zako ili uungwe mkonoHuyu Mzee ndio alitunga sheria ya kupigia kura kivuli au picha ya Nyerere, eti leo na yeye analalamikia uchaguzi.
Nyamirembe kabisa huyu
Tumfuate nyendo za Captani Fire na Kadhi mkuu1 kabla makaburu hawaja tufunga minyororo na kuturudisha utumwani ndani ya taifa letu.Barikiwa sana ndugu Kadhi Mkuu1.Marahaba, kuanzia sasa CCM siyo baba wala mama yangu.