UNIQUE BOI
New Member
- Dec 23, 2018
- 2
- 2
Habari zenu wakubwa,
Naomba ushauri na msaada mzee wangu alimdhamin mtu hasa akaweka dhamana ya nyumba yake kisa alirubunia atapewa 10%...huyo mtu alienda bank kwaajili ya kupewa mkopo bank wakamwambia hatuwezi kukupa Hela bila dhamana ya nyumba yule mteja ndo wakamkutanisha mzee kupitia madalali mzee akaingia kwenye mfumo ..
Hivyo tulienda bank wakatupa deni lililopo nikaomba mkataba wakasema upo strong room na kupata cyo Leo Wala kesho,.naomben mnishaur hyo imekaaje wakubwa.