Mzee wangu ni fundi wa ujenzi

Mzee wangu ni fundi wa ujenzi

Dalali wa mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
326
Reaction score
464
Habari ya wakati huu ndugu zangu wa Jua na Ac.

Kama kawadi hapa dalali wa mjini nipo live.
Jirani yangu ni fundi ujezi wa nyumba ambaye taaluma Yake alisomea chuo cha ufundi veta miaka mingi iliyopita.

Ushahidi ni mimi mwenyewe kunijengea nyumba yangu.Kwahiyo yupo vizuri kwenye professional yake ya ujenzi.

Kama unataka kuanza ujenzi au kuendeleza ujenzi basi nipigie simu 0754693556 nitakuja nae hadi saite kwako.

#Dalaliwamjini
0754693556
 
Anaweza kunijengea kagorofa kamoja?
 
Chumba self sebule jiko anajenga boma kwa laki ngapi?
 
Shukran mkuu ukihitaji mafundi ujenzi nipigie mkuu.

Mimi niagize popote lakini usiniagize nikutafutie Malaya sababu sifanyi udalali huo.

Mana Kuna jamaa alinipigia simu anataka demu wa kihindi.
Mimi nataka demu wa kichina, bro
It is not easy to understand it now, but always made and looks attractive.

How do you mean?
 
Back
Top Bottom