Mzee wangu ni fundi wa ujenzi

Mzee wangu ni fundi wa ujenzi

Habari ya wakati huu ndugu zangu wa Jua na Ac.

Kama kawadi hapa dalali wa mjini nipo live.
Jirani yangu ni fundi ujezi wa nyumba ambaye taaluma Yake alisomea chuo cha ufundi veta miaka mingi iliyopita.

Ushahidi ni mimi mwenyewe kunijengea nyumba yangu.Kwahiyo yupo vizuri kwenye professional yake ya ujenzi.

Kama unataka kuanza ujenzi au kuendeleza ujenzi basi nipigie simu 0754693556 nitakuja nae hadi saite kwako.

#Dalaliwamjini
0754693556
Ungeweka na sample ya baadhi ya kazi zake. Wa bongo wengi Matomaso
 
Habari ya wakati huu ndugu zangu wa Jua na Ac.

Kama kawadi hapa dalali wa mjini nipo live.
Jirani yangu ni fundi ujezi wa nyumba ambaye taaluma Yake alisomea chuo cha ufundi veta miaka mingi iliyopita.

Ushahidi ni mimi mwenyewe kunijengea nyumba yangu.Kwahiyo yupo vizuri kwenye professional yake ya ujenzi.

Kama unataka kuanza ujenzi au kuendeleza ujenzi basi nipigie simu 0754693556 nitakuja nae hadi saite kwako.

#Dalaliwamjini
0754693556
Mkuu hapa mzee wako anahusikaje kwenye hili ?
 
Back
Top Bottom