Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Balaa kabisaWinga kama Winga
Hongera, pambanaBalaa kabisa
Shukran mkuu ukihitaji mafundi ujenzi nipigie mkuu.Hongera, pambana
Anaweza kunijengea kagorofa kamoja?Habari ya wakati huu ndugu zangu wa Jua na Ac.
Kama kawadi hapa dalali wa mjini nipo live.
Jirani yangu ni fundi ujezi wa nyumba ambaye taaluma Yake alisomea chuo cha ufundi veta miaka mingi iliyopita.
Ushahidi ni mimi mwenyewe kunijengea nyumba yangu.Kwahiyo yupo vizuri kwenye professional yake ya ujenzi.
Kama unataka kuanza ujenzi au kuendeleza ujenzi basi nipigie simu 0754693556 nitakuja nae hadi saite kwako.
#Dalaliwamjini
0754693556
Bila tatizo bossAnaweza kunijengea kagorofa kamoja?
Fundi wa veta na gorofa wapi na wapiBila tatizo boss
Uwazavyo ni tofauti sana kaka.Hizo kazi amezifanyaFundi wa veta na gorofa wapi na wapi
Aliyekuambia engineer anashika chepeo ni naniFundi wa veta na gorofa wapi na wapi
Chumba self sebule jiko anajenga boma kwa laki ngapi?Habari ya wakati huu ndugu zangu wa Jua na Ac.
Kama kawadi hapa dalali wa mjini nipo live.
Jirani yangu ni fundi ujezi wa nyumba ambaye taaluma Yake alisomea chuo cha ufundi veta miaka mingi iliyopita.
Ushahidi ni mimi mwenyewe kunijengea nyumba yangu.Kwahiyo yupo vizuri kwenye professional yake ya ujenzi.
Kama unataka kuanza ujenzi au kuendeleza ujenzi basi nipigie simu 0754693556 nitakuja nae hadi saite kwako.
#Dalaliwamjini
0754693556
Wee jamaa kwa style zako hizo utakuta ukuta umepindaAnalipwa kwa DAY au kwa tofali?
KAZI ni kipimo cha utu
It is not easy to understand it now, but always made and looks attractive.Kujenga gorofa unahitaji kujua physics: force, compression, strength, durability, elasticity, etc sasa mtu wa veta atavijuaje hivyo?
Mimi nataka demu wa kichina, broShukran mkuu ukihitaji mafundi ujenzi nipigie mkuu.
Mimi niagize popote lakini usiniagize nikutafutie Malaya sababu sifanyi udalali huo.
Mana Kuna jamaa alinipigia simu anataka demu wa kihindi.
It is not easy to understand it now, but always made and looks attractive.
How do you mean?It is not easy to understand it now, but always made and looks attractive.