Utu uzima dawa, na ya kale ni dhahabu.
Mzee Warioba ni mtu wa kuonwa kwa ushauri (consultation) na wote wenye nia njema na nchi hii na hasa wale walio wazalendo. Hii ni kwa wote tokea serikalini na hata wanaopambania kupatikana katiba mpya.
Mzee Warioba yuko wazi kuhusu umuhimu na udharura wa katiba mpya. Kuwa kwa hakika katiba mpya ni kipaumbele kuliko vyote kwetu kwa sasa, lakini si kuliko Corona. Ni muhimu watu wasiwekwe hatarini na jitihada zote zifanyike kuwasikiliza wataalamu wa afya.
"Hatua iliyobakia ni ya kuirudisha katiba pendekezwa kwa wananchi kwa ajili ya kuiuza na hatimaye kupigiwa kura. Hatua hii inaweza kuwaweka wananchi hatarini zaidi na ugonjwa huu." Anasisitiza mzee Warioba.
Mzee Warioba anasema ilikuwa muhimu kwa Rais kukutana na vyama vya siasa kuongea kwa dhati, likiwamo suala la katiba. Wakakubaliana katiba mpya ni lini.
Kwa mujibu wa mzee Warioba, kuna yaliyomo katika katiba pendekezwa ambayo yangeweza kuwa adopted na kupitishwa na bunge, yakawekwa kwenye katiba iliyopo hata kabla ya katiba mpya. Mambo hayo ni yale yaliyo wazi zaidi yaliyotoka kwa wananchi na kuridhiwa na bunge la katiba na ambayo pia ni kizungumkuti kwa vyama vya siasa.
Mfano wa mambo hayo ni kama:
1. uwapo wa tume huru,
2. kuwa na wagombea huru
3. Rais kuchaguliwa iwe zaidi ya 50%
4. Malalamiko ya chaguzi zikiwamo za urais kulalamikiwa mahakamani kisheria.
Hali hii itasaidia kutoa nafasi ya kuweka mambo sawa zaidi kwa mustakabala mwema wa haki katika nchi yetu.
-----
My take:
Mzee Warioba ana hoja za msingi na hasa maonyo zaidi kama haya yanapoendelea kuzizima:
www.mwananchi.co.tz

Tuipe nafasi afya kwa kupambana na corona, maendeleo yapo tu
Hapo Arusha na Kilimanjaro viongozi wanapoteza sana maisha, huo utalii mnaoutangaza ili kutangaza vivutio kwa wageni wa nje ndio unaopelekea nchi inapata mawimbi ya magonjwa ya ajabu ajabu.