Mzee Warioba: Corona, Katiba na Miito ya Busara

Mzee Warioba: Corona, Katiba na Miito ya Busara

Hatimaye umepata support kidogo unashinda unaitafuta JF. Wewe ni k.enge usiye na akili. Toka kwa shemeji yako ukajitafutie baada ya hapo hutakaa unaiogopa Corona masaa yote. Mwanaume anayejitafutia riziki hawezi kushinda mitandaoni anaanzisha threads za Corona masaa 24.
IMG_20210708_070119_331.jpg
 
Toka kwa shemeji yako unakolishwa bure ukajipambanie ndo utapata akili. Hizi akili zako za ki Corona Corona zinakufanya uwe fal.a sana.

Ungekuwa hulelewi ungejua kwa nini:

1. Ni muhimu maisha yakalindwa kama kipaumbele na si kufanyiwa mzaha kwenye malimao, mikaratusi, nyungu, au matango pori mengine.
2. Ungejua umuhimu wa katiba mpya kwako, wanao, na hata watoto wa watoto wako.

Mwandiko wako tu unaonesha ni aina gani ya mtu wewe:

Bila ya shaka wewe ni mshamba!

tameer

IMG_20210728_194111_610.jpg


😂😂😂😂😂😂
 
Ningeshangaa usingehusisha neno CORONA kwenye bandiko lako.. We jamaa sijui una ugonjwa wa kuiwaza CORONA!?.. nahisi hata ukikuta watu wanajadili mpira lazima ulete story za Corona. Kulikuwa na umuhimu gani kuweka neno Corona kwenye heading!?.. Bado hujioni ulivyo f.ala?

Hadi hapo f.ala utakuwa bila shaka umemtambua vyema mburula wewe!

Ngoja kwanza tuchanjwe. Waliokufa mikononi na ndani ya sera za porojo za awamu ile, jina moja kwa moja mtawajibika nao.

Cc: tameer Tazama Ramani
 
Utu uzima dawa, na ya kale ni dhahabu.

Mzee Warioba ni mtu wa kuonwa kwa ushauri (consultation) na wote wenye nia njema na nchi hii na hasa wale walio wazalendo. Hii ni kwa wote tokea serikalini na hata wanaopambania kupatikana katiba mpya.

View attachment 1851432

Mzee Warioba yuko wazi kuhusu umuhimu na udharura wa katiba mpya. Kuwa kwa hakika katiba mpya ni kipaumbele kuliko vyote kwetu kwa sasa, lakini si kuliko Corona. Ni muhimu watu wasiwekwe hatarini na jitihada zote zifanyike kuwasikiliza wataalamu wa afya.

"Hatua iliyobakia ni ya kuirudisha katiba pendekezwa kwa wananchi kwa ajili ya kuiuza na hatimaye kupigiwa kura. Hatua hii inaweza kuwaweka wananchi hatarini zaidi na ugonjwa huu." Anasisitiza mzee Warioba.

Mzee Warioba anasema ilikuwa muhimu kwa Rais kukutana na vyama vya siasa kuongea kwa dhati, likiwamo suala la katiba. Wakakubaliana katiba mpya ni lini.

Kwa mujibu wa mzee Warioba, kuna yaliyomo katika katiba pendekezwa ambayo yangeweza kuwa adopted na kupitishwa na bunge, yakawekwa kwenye katiba iliyopo hata kabla ya katiba mpya. Mambo hayo ni yale yaliyo wazi zaidi yaliyotoka kwa wananchi na kuridhiwa na bunge la katiba na ambayo pia ni kizungumkuti kwa vyama vya siasa.

Mfano wa mambo hayo ni kama:

1. uwapo wa tume huru,
2. kuwa na wagombea huru
3. Rais kuchaguliwa iwe zaidi ya 50%
4. Malalamiko ya chaguzi zikiwamo za urais kulalamikiwa mahakamani kisheria.

Hali hii itasaidia kutoa nafasi ya kuweka mambo sawa zaidi kwa mustakabala mwema wa haki katika nchi yetu.
-----
My take:

Mzee Warioba ana hoja za msingi na hasa maonyo zaidi kama haya yanapoendelea kuzizima:

One of the few remaining Elderly in Our nation
 
Kauli hii ya mhariri Mwananchi ni fikirishi sana:

"Mhariri,

Hapo Arusha na Kilimanjaro viongozi wanapoteza sana maisha, huo utalii mnaoutangaza ili kutangaza vivutio kwa wageni wa nje ndio unaopelekea nchi inapata mawimbi ya magonjwa ya ajabu ajabu.

Mara mnatangaza utalii, mara mnakopa pesa kuendeleza miradi, mara mnataka katiba mpya, mara mnapanua wigo wa kulipa kodi, mara mnajadiliana na wawekezaji. Kifupi ni kwamba nchi haijakaa kimkakati, inatapatapa kama mfa maji, na bahati mbaya wimbi la tatu la corona likituzidia tutaumia sana.

Nashauri, tupambane kwanza na afya, tukishaimarika basi tutafanya hayo maendeleo. Kwani tukishughulikia ugonjwa ukaisha kisha tukaendelea na masuala ya miradi ya maendeleo mtakuwa mmepoteza nini? Shida washauri wengi wanatumia matumbo badala ya kichwa.


Hallson Mengere"

Serikali ilipaswa kutoka iliko kuweka mambo sawa kuliko kuwaachia wendawazimu kujinasibu kuwa nao wamo.
Kuna nchi ambayo imesimamisha shughuli zoooote na ku deal na Corona tu. Na walipomaimaliza wakaanza na shughuli za maendeleo? HAKUNA

Lakini kwanini hatufanyiwi tafiti na takwimu za magonjwa mengine au visababisha kifo vingine ili kuleta uelewa na kuninga na matatizo hayo?
 
Kuna nchi ambayo imesimamisha shughuli zoooote na ku deal na Corona tu. Na walipomaimaliza wakaanza na shughuli za maendeleo? HAKUNA

Lakini kwanini hatufanyiwi tafiti na takwimu za magonjwa mengine au visababisha kifo vingine ili kuleta uelewa na kuninga na matatizo hayo?

Una maana finyu sana jombi. Ama kwa hakika umepwelewa kweli kweli.

Hivi umewahi kujiuliza, ni wapi duniani kuna nchi hata moja iliyopita kwenye porojo za kijinga kuhusu huu ugonjwa kama sisi?

Kwamba:

1. Ugonjwa haupo?
2. Ni vita vya kiuchumi dhidi ya Tanzania tu?
3. Badala ya ugonjwa kupigwa vita kisayansi likawa suala la kishirikina?
4. Nyungu, maombi, mikaratusi, michai chai, malimao na matango pori kuwa tiba rasmi inayoratibiwa na serikali ya ugonjwa huu?
5. Chanjo kufanywa kuwa ni sehemu ya upigaji wa mabeberu pia barakoa, PPEs nk kuwekwa daraja moja ya upigaji huo?
6. Ugonjwa kufanywa suala la kisiasa?
7. Majukumu ya ugonjwa kupokwa kutoka kwa madaktari na kuwa jukumu la watu wasiojulikana wenye kubeba bunduki?
8. Mikusanyiko ya watu isiyokuwa ya na ulazima wowote zikiwamo mbio za mwenge, harusi, matamasha, mikutano ya CCM nk kuendelea bila kizuizi katikati ya mlipuko janga ugonjwa?
9. Safari za anga kuhusianisha India, China na Ulaya kuendelea hata pale wengine walipofunga mipaka yao?
10. Kusuasua kwenye Mambo ya chanjo hadi jana?
11. Nk

Tokea jana tuna furaha mno kwamba angalau sasa maisha ya kawaida yatarejea baada ya busara na sayansi kuamriwa kuzingatiwa.

Tumetokea zama za giza mni. Wangapi wamekufa kwenye porojo hizo? Tutarudi huko baadaye wacha tuchanjwe kwanza!
 
Back
Top Bottom