Mzee Warioba: Corona, Katiba na Miito ya Busara

 
Toka kwa shemeji yako unakolishwa bure ukajipambanie ndo utapata akili. Hizi akili zako za ki Corona Corona zinakufanya uwe fal.a sana.


tameer



πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Hadi hapo f.ala utakuwa bila shaka umemtambua vyema mburula wewe!

Ngoja kwanza tuchanjwe. Waliokufa mikononi na ndani ya sera za porojo za awamu ile, jina moja kwa moja mtawajibika nao.

Cc: tameer Tazama Ramani
 
One of the few remaining Elderly in Our nation
 
Kuna nchi ambayo imesimamisha shughuli zoooote na ku deal na Corona tu. Na walipomaimaliza wakaanza na shughuli za maendeleo? HAKUNA

Lakini kwanini hatufanyiwi tafiti na takwimu za magonjwa mengine au visababisha kifo vingine ili kuleta uelewa na kuninga na matatizo hayo?
 

Una maana finyu sana jombi. Ama kwa hakika umepwelewa kweli kweli.

Hivi umewahi kujiuliza, ni wapi duniani kuna nchi hata moja iliyopita kwenye porojo za kijinga kuhusu huu ugonjwa kama sisi?

Kwamba:

1. Ugonjwa haupo?
2. Ni vita vya kiuchumi dhidi ya Tanzania tu?
3. Badala ya ugonjwa kupigwa vita kisayansi likawa suala la kishirikina?
4. Nyungu, maombi, mikaratusi, michai chai, malimao na matango pori kuwa tiba rasmi inayoratibiwa na serikali ya ugonjwa huu?
5. Chanjo kufanywa kuwa ni sehemu ya upigaji wa mabeberu pia barakoa, PPEs nk kuwekwa daraja moja ya upigaji huo?
6. Ugonjwa kufanywa suala la kisiasa?
7. Majukumu ya ugonjwa kupokwa kutoka kwa madaktari na kuwa jukumu la watu wasiojulikana wenye kubeba bunduki?
8. Mikusanyiko ya watu isiyokuwa ya na ulazima wowote zikiwamo mbio za mwenge, harusi, matamasha, mikutano ya CCM nk kuendelea bila kizuizi katikati ya mlipuko janga ugonjwa?
9. Safari za anga kuhusianisha India, China na Ulaya kuendelea hata pale wengine walipofunga mipaka yao?
10. Kusuasua kwenye Mambo ya chanjo hadi jana?
11. Nk

Tokea jana tuna furaha mno kwamba angalau sasa maisha ya kawaida yatarejea baada ya busara na sayansi kuamriwa kuzingatiwa.

Tumetokea zama za giza mni. Wangapi wamekufa kwenye porojo hizo? Tutarudi huko baadaye wacha tuchanjwe kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…