Mzee Warioba: Miaka 60 ya Uhuru tunaanza kurudi kule kule kwenye matabaka ya Waheshimiwa na Makabwela!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akizungumza kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, makamu wa kwanza wa Rais na waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba amesema taifa limeanza kurudi kwenye matabaka ya Waheshimiwa na Makabwela.

Amesema waheshimiwa zamani waliitwa Wa Benz

Au matabaka ya Raizoni na Kandambili

Jaji Warioba amesema hata Elimu kwa sasa haiangalii tena Uwezo na Uadilifu bali cheti.

Kipindi kitarushwa saa 3.00 usiku.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Huwa najiuliza kwanini huyu mzee huwa hana mtoto/watoto huko serikalini?

Au wapo ila hawana makelele kama hawa wengine tuliowazoea? kila awamu lazima majina yao yawepo tu kama waganga wa kienyeji.
 
Kippi Warioba nadhani alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi,sijui bado yupo ama ameondolewa?
 
Combination ya huyu mzee na Polepole mwaka 2015 iliwalazimisha CCM kuogopa kuwaweka Mzee wa Richmond na mzee wa Fedha za Walibya kuwania kiti. Safari sijui wana nini, nawaona kwa mbali wanakuja kuja!
 
Akizungumza kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, makamu wa kwanza wa Rais na waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba amesema taifa limeanza kurudi kwenye matabaka ya Waheshimiwa na Makabwela.

Amesema waheshimiwa zamani waliitwa Wa Benz

Au matabaka ya Raizoni na Kandambili

Jaji Warioba amesema hata Elimu kwa sasa haiangalii tena Uwezo na Uadilifu bali cheti.

Kipindi kitarushwa saa 3.00 usiku.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Mzee abarikiwe, aongeze miaka mingine mingi ili aendelee kuwazoom na mambo yenu ya hovyo na kuwakemea kama anavyofanya Sasa.
 
Kippi Warioba nadhani alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi,sijui bado yupo ama ameondolewa?
Kippi Warioba alikua Mkuu wa Wilaya ya Moshi. Hakutaka unafiki wa kufanya kazi majukwaani akifoka na kutoa amri. Alikua anakemea viongozi wanaojifanya kukaripia subordinates wao hadharani maana miongozo na taratibu za kuwajibishana kwa watumishi wa umma ipo

Alikua ni mtu wa kufuata taratibu. Hata kama kuna mtumishi alikua anastahili kuchukuliwa hatua za kinidhamu basi Kippi alihubiri siku zote hatua hizo zichukuliwe kwa staha na kuchunga haki za binadamu

Sasa aina ya viongozi kama yeye sio watu waliokua wanakubaliwa na Jiwe. Hatimaye alimtumbua
 
Hakutumbuliwa.

Alienda kugombea ubunge!
 
"Ubabe na unyonge kwa sasa ni wazi ndilo jambo linaloendelea nchini."

Hayo ni maneno ya mzee Warioba akiuponda Utawala unaoendeleza sera za kuwanyonya wanyonge na kuwakumbatia wenye mamlaka na Mali jambo ambalo mzee amesema tulikuwa tumeshaanza kuyasahau.

Msikilize wenyewe ITV kuanzia saa 3 usiku huu
 
Akizungumza kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, makamu wa kwanza wa Rais na waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba amesema taifa limeanza kurudi kwenye matabaka ya Waheshimiwa na Makabwela.

Amesema waheshimiwa zamani waliitwa Wa Benz

Au matabaka ya Raizoni na Kandambili

Jaji Warioba amesema hata Elimu kwa sasa haiangalii tena Uwezo na Uadilifu bali cheti.

Kipindi kitarushwa saa 3.00 usiku.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Wacha tusubiri!
 
Huwa najiuliza kwanini huyu mzee huwa hana mtoto/watoto huko serikalini?

Au wapo ila hawana makelele kama hawa wengine tuliowazoea? kila awamu lazima majina yao yawepo tu kama waganga wa kienyeji.

Alikuwa nao, kuna huyo anaitwa Kipi, alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi alikuja hapa Dar kugombea ubunge jimbo la kawe akapata Kura 2 kwenye Kura za maoni. Na vile Magufuli aliwaambia ukiacha kazi aliyokuchagua ukaenda kwenye ubunge ukikosa shauri yako. Ni mjinga fulani anayejifanya mjuaji.
 
Back
Top Bottom