johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kippi Warioba nadhani alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi,sijui bado yupo ama ameondolewa?Huwa najiuliza kwanini huyu mzee huwa hana mtoto/watoto huko serikalini?
Au wapo ila hawana makelele kama hawa wengine tuliowazoea? kila awamu lazima majina yao yawepo tu kama waganga wa kienyeji.
Ooh, nimemkumbuka, yupo kama hayupo.Kippi Warioba nadhani alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi,sijui bado yupo ama ameondolewa?
Mzee abarikiwe, aongeze miaka mingine mingi ili aendelee kuwazoom na mambo yenu ya hovyo na kuwakemea kama anavyofanya Sasa.Akizungumza kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, makamu wa kwanza wa Rais na waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba amesema taifa limeanza kurudi kwenye matabaka ya Waheshimiwa na Makabwela.
Amesema waheshimiwa zamani waliitwa Wa Benz
Au matabaka ya Raizoni na Kandambili
Jaji Warioba amesema hata Elimu kwa sasa haiangalii tena Uwezo na Uadilifu bali cheti.
Kipindi kitarushwa saa 3.00 usiku.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kippi Warioba alikua Mkuu wa Wilaya ya Moshi. Hakutaka unafiki wa kufanya kazi majukwaani akifoka na kutoa amri. Alikua anakemea viongozi wanaojifanya kukaripia subordinates wao hadharani maana miongozo na taratibu za kuwajibishana kwa watumishi wa umma ipoKippi Warioba nadhani alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi,sijui bado yupo ama ameondolewa?
Hakutumbuliwa.Kippi Warioba alikua Mkuu wa Wilaya ya Moshi. Hakutaka unafiki wa kufanya kazi majukwaani akifoka na kutoa amri. Alikua anakemea viongozi wanaojifanya kukaripia subordinates wao hadharani maana miongozo na taratibu za kuwajibishana kwa watumishi wa umma ipo
Alikua ni mtu wa kufuata taratibu. Hata kama kuna mtumishi alikua anastahili kuchukuliwa hatua za kinidhamu basi Kippi alihubiri siku zote hatua hizo zichukuliwe kwa staha na kuchunga haki za binadamu
Sasa aina ya viongozi kama yeye sio watu waliokua wanakubaliwa na Jiwe. Hatimaye alimtumbua
Yeah, upo sahihi mkuu. Kippi nae alikua ni muathirika wa lile tamko na agizo haramu la kuwataka watu wenye nia ya kutumia haki yao ya kikatiba kugombea Ubunge eti waache kazi walizokua nazo wakati huo!!!! Kimepita kipindi kigumu sanaHakutumbuliwa.
Alienda kugombea ubunge!
Wacha tusubiri!Akizungumza kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, makamu wa kwanza wa Rais na waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba amesema taifa limeanza kurudi kwenye matabaka ya Waheshimiwa na Makabwela.
Amesema waheshimiwa zamani waliitwa Wa Benz
Au matabaka ya Raizoni na Kandambili
Jaji Warioba amesema hata Elimu kwa sasa haiangalii tena Uwezo na Uadilifu bali cheti.
Kipindi kitarushwa saa 3.00 usiku.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Huwa najiuliza kwanini huyu mzee huwa hana mtoto/watoto huko serikalini?
Au wapo ila hawana makelele kama hawa wengine tuliowazoea? kila awamu lazima majina yao yawepo tu kama waganga wa kienyeji.
Habari ndo hiyo
Nawe unashangaa , wakati nilijua kuona na kusikia hali hiyo ndio raha na furaha yako.
Aliondoka mwenyewe....wkt wa uchaguzi kugombea ubunge Kawe...Ooh, nimemkumbuka, yupo kama hayupo.